Phone4Sale Sony Xperia XZ1

Simu inayokaa na chaji inajulikana, mfano mzuri ni tecno au infinix je, hio simu ina kiwango kile cha uhimilivu wa kutunza umeme? Maana haya masimu licha ya ubovu na kustack ila unaweza ukacheza nalo kiganjani siku nzima data on na ukafika nyumbani kwako lina 31%

Hio Sony ikoje au ndo ile simu ikikaa kiganjani ndani ya lisaa limoja ishafika 53%? toka 100%
Chaji inategemea na matumizi ya mt
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…