lucas more Senior Member Joined Jul 30, 2016 Posts 108 Reaction score 27 Aug 28, 2016 #1 Kwa nini simu za Xperia m2 zina heat(zinakua za moto) sana unapotumia
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,186 Aug 28, 2016 #2 hiyo chaji ni yake? Huwa unatumia huku unachaji? Huwa unaacha data wazi pindi unachaji?
moto2012 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 2,306 Reaction score 1,536 Aug 28, 2016 #3 Sio kweli mkuu, ninayo for 2 yrs haina hilo tatizo
kagwima JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 1,325 Reaction score 1,705 Aug 28, 2016 #4 Ibilisi said: hiyo chaji ni yake? Huwa unatumia huku unachaji? Huwa unaacha data wazi pindi unachaji? Click to expand... Jibu hayo maswali fasta tujue tatizo ni nn
Ibilisi said: hiyo chaji ni yake? Huwa unatumia huku unachaji? Huwa unaacha data wazi pindi unachaji? Click to expand... Jibu hayo maswali fasta tujue tatizo ni nn
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,433 Reaction score 38,402 Aug 28, 2016 #5 Ya wapiw hiyo?
lucas more Senior Member Joined Jul 30, 2016 Posts 108 Reaction score 27 Aug 29, 2016 Thread starter #6 Ibilisi said: hiyo chaji ni yake? Huwa unatumia huku unachaji? Huwa unaacha data wazi pindi unachaji? Click to expand... Ya ni chaji Yake. Yes sometimes natumia huku naicharge
Ibilisi said: hiyo chaji ni yake? Huwa unatumia huku unachaji? Huwa unaacha data wazi pindi unachaji? Click to expand... Ya ni chaji Yake. Yes sometimes natumia huku naicharge
lucas more Senior Member Joined Jul 30, 2016 Posts 108 Reaction score 27 Aug 29, 2016 Thread starter #7 moto2012 said: Sio kweli mkuu, ninayo for 2 yrs haina hilo tatizo Click to expand... Labda tatizo lipo kwangu
moto2012 said: Sio kweli mkuu, ninayo for 2 yrs haina hilo tatizo Click to expand... Labda tatizo lipo kwangu