sony xperia L1

numis

Senior Member
May 25, 2017
112
250
habari zenu wadau ninaomba msaada wa kujua nifanye nini juu ya hiy simu niliyotaja hapo juu iko poa sana kwakwel perfomance iko fast camera iko quality tatizo ni kwamba nikiichomeka kweny chaji ikiwa on yani sijaizima inafikia mwish asilimia 60 afu aiendelei ila nikiizima ina peleka vizur na kujaa had 100 battery inakaa chaji vizuri ila natak wataalamu mnisaidie kunishaur hapo tatiz litakuwa ni nini au kam kuna mtu anay sim ya model hii tuongee kibiashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom