Kufuatana una angalia features ghani Kwenye hizo simu mbili
But kwa specification na ukubwa chukua Z3 , hii ni ya september 2014 wakati T2 ni ya January 2014 so ,unawenza ona T2 ni ya nyuma kidogo
Cpu
T2
Quad-core 1.4 GHz Cortex-A7
Z3
Quad-core 2.5 GHz Krait 400
RAM
T2
8 GB, 1 GB RAM
Z3
16/32 GB, 3 GB RAM