Sony smartphone cameras

Nenda Mlimani City wana duka pale. Natumaini unamaanisha Sony smartphones with camera
 
Nenda Mlimani City wana duka pale. Natumaini unamaanisha Sony smartphones with camera

Kuna cameras za Sony ambazo unaziattach kwenye smartphone yako and utakuwa inapiga picha safi kabisa
 
They're not cheap costs about 350,000 tshs. Nenda Mlimani city kama ulivyoambiwa!

Zimeshuka kiasi hicho mkuu? maana wakati zinatoka QX10 ilikuwa $520, na QX100 ilikuwa zaidi ya dola mia saba!!! Mimi sijaona point ya hizi makitu ni heri ukanunua camera ya maana tu, au kama unataka smartphone yako iwe na picha bora kidogo ni heri ununua zile lens za kubandika!!

cc: franco15
 
Last edited by a moderator:

Hizo lens za kubandika zinauzwa sh ngapi n zinapatikana wapi?
 
Last edited by a moderator:
Hizo lens za kubandika zinauzwa sh ngapi n zinapatikana wapi?

Zipo za aina nyingi mkuu, ni chaguo lako tu, around laki moja unapata. Wewe unatumia simu gani? Tembelea Mlimani City kama wadau walivosema, ukikosa unaweza kuzama ebay ukapata kwa bei nafuu zaidi.
 
Zipo za aina nyingi mkuu, ni chaguo lako tu, around laki moja unapata. Wewe unatumia simu gani? Tembelea Mlimani City kama wadau walivosema, ukikosa unaweza kuzama ebay ukapata kwa bei nafuu zaidi.

Me natumia huawei ascend y300
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…