Sony smartphone cameras zinauzwa wapi kwa hapa dar?
If hiyo ndo price yake nimeshindwa thanx anyway!
They're not cheap costs about 350,000 tshs. Nenda Mlimani city kama ulivyoambiwa!
Zimeshuka kiasi hicho mkuu? maana wakati zinatoka QX10 ilikuwa $520, na QX100 ilikuwa zaidi ya dola mia saba!!! Mimi sijaona point ya hizi makitu ni heri ukanunua camera ya maana tu, au kama unataka smartphone yako iwe na picha bora kidogo ni heri ununua zile lens za kubandika!!
cc: franco15
Hizo lens za kubandika zinauzwa sh ngapi n zinapatikana wapi?