Sony/Samsung/Lg/Hisense kwa bei nzuri

Sony/Samsung/Lg/Hisense kwa bei nzuri

Joined
Nov 25, 2013
Posts
31
Reaction score
3
*Brand new samsung led hdtv series 4 32inch inauzwa kwa 750,000
Note: with 2years warranty na ina built in decoder.
*pia mimi ni dealer wa aina nyingine za electronics kama Sony, LG na Hisense
*Baadhi ya electronics ninazodeal nazo ni kama tv,mafriji, home theatre, washing machine, vacuum cleaner, dvd player, AC n.k..
*Ofisi zetu zipo uhuru road kariakoo karibu na barclays bank
*kwa mawasiliano zaidi piga namba 0713086602
 
Jamani nahitaji hii kitu hapa je sijui mnayo hapo ofisini kwenu?Samsung UE40F6340 LCD/LED-TVs,3D.naombeni jibu na bei yake
 
Thread ya mwezi March,2014 huyu mleta tangazo yabidi arejee haraka kutoa majibu ili watu waone ikiwa bidhaa bado zipo ama laa!
 
Back
Top Bottom