Sony music system for sale for just 650,000/=

Mrbwire

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
200
Reaction score
53
The above product (Sony Genez - SS-GTR77P) is on sale for just 650,000/=
- Subwoofer - 20 cm
- High compression horn tweeter

The system have been used for about four months only. So it is as good as a new one!

Serious buyers contact 0768 - 770 465 (Mr. Ally Rajabu)

Serious buyers ONLY!
 
Manual yake inakuambia inafaa zaidi unapokuwa katika ukumbi wenye watu km 50.
 
Manual yake inasema, product hii unaweza kui-utilize effectively unapokuwa kwenye ukumbi wa watu hamsini. So you can figure-out how powerful this animal is!
 
Hiyo bei haishuki kidogo mpaka laki 5?
 
Hiyo bei haishuki kidogo mpaka laki 5?

I have used for just 4 months and that price is actully after a deprciation of about 350,000! Sitaweza kushusha zaidi ya hapo.
 
Plzee once u mention radio power or kuisifia how it is....

Mention this..... WATTS..... hiki ndio muhimu.... U can have a big home theater... but not effective...so tuwekea wattage hapa Mrbwire....

....
 
Plzee once u mention radio power or kuisifia how it is....

Mention this..... WATTS..... hiki ndio muhimu.... U can have a big home theater... but not effective...so tuwekea wattage hapa Mrbwire....

....


Niko mbali na home kwa sasa but by knowing the radio model (Which is indicated in my first thread) you can take trouble to get rest of details from google! Utapata taarifa zote mpaka imetengezwa wapi (Its a matter of ctr+C and ctr+V to any search engine kaka)
 
Tuelezee basi ina WATS ngapi na speeker zake zina OHMS ngapi,some nyuma ndo vipimo vya ukweli vilipoandikwa,huko mbele ni za kibiashara zaidi
 
Tuelezee basi ina WATS ngapi na speeker zake zina OHMS ngapi,some nyuma ndo vipimo vya ukweli vilipoandikwa,huko mbele ni za kibiashara zaidi

Mkuu Steve, nipo mbali safari, if the option ya kucheki online won't work then I will need some few days to get back to you (Ntakaporudi home)
 

Seen....

... 910 watts, RMS, 10,000 w PMPO...

sio mbaya.... this is good... original stuff...
 
Seen....

... 910 watts, RMS, 10,000 w PMPO...

sio mbaya.... this is good... original stuff...

You have helped me a great deal Pilot! .... Haya wanunuzi mnakaribishwa.
 
plzee once u mention radio power or kuisifia how it is....

Mention this..... Watts..... Hiki ndio muhimu.... U can have a big home theater... But not effective...so tuwekea wattage hapa mrbwire....

....
wakuu mimi ninayo yenye watts 10,000 pmpo na ina dvd player nauza kwa laki 5 tu net call 0715-388666
 
Mhehimiwa sana, gari umeuza? Commission umetoa % ngapi.

Stop following or backtracking a man....!!

Sb with 4 different IDs used to send me seductive text, i hope a female kama si mmoja wawili in my pm... are u..?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…