p emy Member Joined Sep 12, 2015 Posts 57 Reaction score 9 May 26, 2016 #1 Nilitumia avg program baada ya kubadili line cm ikajilock, kwa bahati mbaya ipo offline nimejaribu kurudisha line ya awali bado inadai password nikiweka password haikubali. Msaada please kwa ajuae nini cha kufanya.
Nilitumia avg program baada ya kubadili line cm ikajilock, kwa bahati mbaya ipo offline nimejaribu kurudisha line ya awali bado inadai password nikiweka password haikubali. Msaada please kwa ajuae nini cha kufanya.
memory card JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 259 Reaction score 167 May 26, 2016 #2 try kuhard reset na maoni kwa wataalam wanaojua watakwambia