Isayasitemanager
Member
- Nov 23, 2017
- 47
- 40
Habari wanajamii,
Jaman ebu naombeni msaada kwa wataalam wa sony music system hometheatre. Saut imeshuka ghafla. Volume nikizidisha yote sawa na volume 12 inasikika kidogo mno. Nimejaribu kuingia kwenye seting kuset sound leval zote lakin wapi.
Nimejaribu test tone inafoka kwa mbaali, sjui nini shida au ni mbovu? Ebu wataalam tusaidiane au kama wapo mafundi njooni tujadili kama mbovu niilete kweny fani yenu itengenezwe.
Karibuni wataalam na mafundi kama mpo humu
Sent using Jamii Forums mobile app