Sony experia z2 vs Lg g3

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,697
Reaction score
9,051
Wakuu habari ninataka kununua mojawapo ya simu hizo ushauri ipi ni nzuri zaidi based on speed durability memory na charge??
 
lg g3 inaipita xperia z2 kwenye resolution ya kioo tu, mambo mengine either wapo sawa au z2 ni nzuri zaidi.
Ahsante chief kwa ufafanuzi,lg g3 ndio cmu ninayoitumia kwa ss,baada ya samsung s5,kwa matumizi ya kawaida naiona ina tofauti ndogo tu na samsung s5
 
Ahsante chief kwa ufafanuzi,lg g3 ndio cmu ninayoitumia kwa ss,baada ya samsung s5,kwa matumizi ya kawaida naiona ina tofauti ndogo tu na samsung s5

s5, z2 na lg g3 zote ni flagship za 2014, zote zinatumia soc moja ya snapdragon 801 hivyo ina maana
-zina cpu sawa
-gpu sawa
-wifi sawa
-aina za ram sawa
-modem sawa etc

zinatofautiana mambo madogo madogo kama camera, ukaaji chaji, uzuri wa kioo na maumbo ya nje
 
Interest yangu ni kwenye chaji mkuu ipi inajitahidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…