Sony ericson

Marandura

Senior Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
105
Reaction score
11
Habari zenu wakuu. Naomba mnisaidie nina shida ya kufungua inbox sms kwenye simu ya sony ericson P990i. Kila nikifungua inanipa ujumbe wa "APLICATION CLOSED" reason code 130.
 
jaribu kufuta files zilizopo kwa pone memory
 
restart hy cm kila ki2 kitakua sawa.
 
fungua Task Manager, funga applications zote zilizokuwa Open kwani RAM yake sio kubwa sana (64mb) toa memory card, hakikisha kuna free phone memory ya kutosha then restart simu,, ikishindikana itakubidi uFormat internal drive kwa kuAccess Service Menu kwa step zifuatazo..utatumia scroll wheel iliyopo pembeni ya simu na pia keyboard ya simu. ( scroll up + * + scroll down + scroll down + * + scroll down ), then choose format phone memory. hapo itaformat internal drive hivyo itafuta kilakitu kwenye phone memory na sio memory card, so backup message zako, contacts, files..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…