1gb
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 2,395
- 3,298
Habari!
Ni kweli ndg yangu nahitaji msaada wako.
Baada ya simu yangu kuharibika,Nikanunua Sony Ericson M600i ni nzuri nimeipenda lkn sasa vitu viwili inanikwaza
1.Internet tangu niinunue ilikuwa inagoma kufunguka ,Nikaifanyia Master Reset hapo kidogo ikanilete start page ambayo wao wameweka google search engine,sasa ugumu unakuja kwamba nikiingiza neno lolote ili ni search au website yeyote inanambia "could not locate remote server"na haitoi option yyte ya kuendelea zaid ya kukurudisha (back)
msaada wako naomba tafadhali
kitu kingine sijajua inatumia aina gani ya memory card manake nikibofya memory card inaandika,no memory stick micro.
Nisaidie ni ndg zangu nami niweze ku surf thru mobile.