sony ericson inauzwa.

sony ericson inauzwa.

Huu mtindo wa haya matangazo yasiyojitosheleza kwa maana ya maelezo ya kutosha mbona unashamiri sana humu jamani, Nahisi tunapoteza mantiki nzima ya Jamii forums as real for Great thinkers! Kuna muda niliona Thread mtu na rafikiye wanauza nyumba!!! JF inakwenda wapi mbona naona twarudi nyuma badala ya kusonga mbele.

Ni mtazamo wangu tu.
 
Poa bei hutaki kutaja taja model ya hiyo simu tujue basi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom