Akthoo JF-Expert Member Joined Nov 5, 2007 Posts 1,068 Reaction score 1,149 Nov 16, 2015 #1 Waungwana naomba msaada wa Fundi wa TV. Inaonesha picha kwa muda wa masaa 2 hivi halafu inakata na kuleta mistari tu.
Waungwana naomba msaada wa Fundi wa TV. Inaonesha picha kwa muda wa masaa 2 hivi halafu inakata na kuleta mistari tu.
Dj mat JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 747 Reaction score 476 Nov 16, 2015 #2 Upo pande zipi?
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,946 Reaction score 5,087 Nov 16, 2015 #3 Mkuu hizo screen ni shiiiida, halafu ujinga wao bei ya screen sawa na ya TV mpya ila za kichina zipo kkoo wanauza kama laki tatu au tatu na nusu, ila quality ya picha kwenye hizo screen ni hafifu sana. pole
Mkuu hizo screen ni shiiiida, halafu ujinga wao bei ya screen sawa na ya TV mpya ila za kichina zipo kkoo wanauza kama laki tatu au tatu na nusu, ila quality ya picha kwenye hizo screen ni hafifu sana. pole
Akthoo JF-Expert Member Joined Nov 5, 2007 Posts 1,068 Reaction score 1,149 Nov 18, 2015 Thread starter #4 Dj mat said: Upo pande zipi? Click to expand... Nipo Kinondoni