Sonona! imenielemea. Msaada!

Pole sana mkuu kwa magumu unayopitia!
Mwenyezi Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki.
 
pole sanaa ndugu ila niambie tu hiyo ni mipango ya mungu ingekuwa karibu na kambi ya wakimbizi ningekupa mbinu ya kuondoa sonono ila fanya hivi amka asubuhi nenda hospitali ya rufaa yeyote iliyokaribu yako nenda hata na maji va voice vya katoni hata moja na biskuti uwagaie wagonjwa waliolazwa wodi mbalimbali utakuja kunishikuru.
 
Kama unaamini kwa MUNGU sali sana yaan usiwe mguu nje mguu ndani atakujibu, na kama unaamini kwa upande wa pili piga ramli kadri uwezavyo yaan uwe huko kwa
,, unaemuamini atakujibu,, wakati unasubiri majibu pita kuona wagonjwa hata na sabuni tuu hospitali iliyokarbu na ww, usisahau pia kujichanganya na watu,, km mpka sahv hujafanya maamuz magum, niseme tuu una moyo wa chuma broo,, palpobaki ni padogo kulko ulkotoka,, POLE MKUU
 
Kwa hali uliyo nayo mpe Yesu maisha yako, Anasema njoni kwangu ninyi msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha. Mathayo 11:28. Hilo ndilo jibu pekee linaweza kuwasaidia.
 
Pole sana,Mwenyezi Mungu akutie nguvu kwa kipindi hiki kigumu.
 
Unaweza kua una teseka sana kumbe tatzo likawa kwenye mambo ya kiukoo
 
Pole Mkuu hakika mtegemeeni Allah maana yeye ndo mwenye majibu sahihi ya majibu yetu.
 
Upo kwenye Dark Night of the soul,ama wengine huita Ego Death.
Kuifikia hyo stage siyo kitu rahisi,ni aidha kupitia Deep Meditation,Ama wengine hutumia Madawa yanaitwa Psychedelic..ama wengine kama wewe kupitia painful events kwenye maisha.

Mshana Jr ongezea jambo
 
 
Pole sana na amini yatapita tuu, aliyesema karafuu inawezekana ni kweli, mimi nikinywa chai ya karafuu huwa najisikia vizuri sana na mood yangu inadilika kabisa inakuwa nzuri , na inavyonukia najisikia vizuri sana, jaribu inaweza kukupa mood nzuri
 
Karafuu unaifanyaje sasa mkuu...?
 
Dah pole sana mkuu jipe moyo kadiri kunapokuwa giza nene ndipo asubuhi hukaribia.

Muamini MUNGU, sali sana utashinda.
 
Jipe Moyo ndugu, ni kweli sonona inaua ukicheza.. Jambo la kwanza kabisa inakubidi ukubali kuwa majanga yote yametoka na si ndoto, na sio kosa lako but nature. Maana hata kama inge kuwa nini.. Bado wangekufa tu hapa dunian.. Shida wamewahi. Hii, pia msisitize wife a kubali.. KinachoMsumbua sasa ni trauma.. Akikubali imetokea atapunguza mshtuko. Pili, inabidi kutafuta kujua hii nature imetenda kama mapenzi yake au sio? Huenda kweli walikufa kwa kuwa au kimazingara... Tafuta ukweli kwa madaktari kujua shida hasa iliyotojea, pili kama alivyosema mkuu, nenda kwa wanaukoo kujua Kuna kitu gani kinaweza kuwa nyuma ya matukio hayo.

Nashauri iwapo utajua kuwa Kuna kitu cha kiukoo kunahitaji matambiko au la.. Jitahidi Sana kusali, maana kama Kuna matambiko.. Jua hata ukitoka sasa inakubidi uendelee kutoa ili maisha yaende. Mungu ndio anaweza vunja mnyororo wa mateso hayo. Hivyo tafuta mtumishi wa Mungu wa kweli... Akuongoze maombi ya ukombozi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…