songea mishahara bado

songea mishahara bado

nabiidaniel

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
2,087
Reaction score
2,844
Wakuu nasikia wafanyakazi wa halmashauri ya manispaa ya songea, yaani idara zote kama afya, elimu n.k hawajapata salary, chanzo ni kupotea kwa "pay roll", ni kweli, mlioko huko mtujuze...
 
Hamfanyi kazi ndio maana Songesonge hakuna maendeleo. mshahara mnataka utoke wapi
 
ni kweli maana kuna mtu jioni nimempiga mzinga kaniambia mshahara bado
 
Mnataka mishahara yanini na wakat mnamapoli yakutosha kuzalisha sembe na dona.
Tunalipa wamjini nyie mtasubiri sanaaaa
Ccm oyeeeeeeee......
 
Back
Top Bottom