Songea siku ya pili leo wanafunga maduka kugoma mashine za tra, wananchi wataabika kupata mahitaji muhimu. Tanzania tuhurumieni wafanya biashara wadogo
Maandamano ya amani au wanakwenda kufanya vurugu?Wamesema hadi keshokutwa wanaenda nyumbani kwa mkuu wa tra na sio ofisini kwake.
home boy mbona tz nzima wanagomea hizo efd?imbeni kwaya tuu huku wenzenu wakipewa viwanda kupunguza usugu wa ajira.wekeni hata tawi la chama chochote cha upinzani basi .
maandamano ya amani au wanakwenda kufanya vurugu?
songea manispaa yote bombambili, na kwingineko