Hussein jumbe- mapenzi ya sirikuna wimbo unaimbwa "siri ya niniii, .... anajuaa, siri yanii nin faida yake...., siri ya mapenzi siri ooh ... mapenzi ya sirii....." naupenda sana na nimeutafuta muda mrefu nimeukosa, mwenye nao naomba anisaidie aupost hapa
Chelea man-usiniache... ngoma hyoMsaada: naomba kujua Ni Nani aliimba huu wimbo ulikuwa classic enzi hizo
" naomba nipende kama nilivyo mi msela ...usiniache"
Duh na mimi mwenye wimbo wa ismail kipira "ombi langu" anisaidie nimeshautafuta sana....
nimejaribu kuutafuta hadi YouTube nimeukosa napata ule nachechemeaHussein jumbe- mapenzi ya siri
Okay thankschelea man-usiniache..
njoo pm unipe whatsapp namba nkutumie,
waulize wajuzi mm naonaga ukibonyeza hicho kidude cha kuchukulia picha ukarudi back utaona audioNielekeze jinsi ya ku upload hapa jamvini
Yah huwa iko hivyo bt version mpya ya jf inantia ushambawaulize wajuzi mm naonaga ukibonyeza hicho kidude cha kuchukulia picha ukarudi back utaona audio
sijui nmeeleweka[emoji15]
weeeh mm sija updateYah huwa iko hivyo bt version mpya ya jf inantia ushamba
mie chakukupa sina mama wa king crayz GK nautafuta sana
#5View attachment 428106View attachment 428107chagua hapo mziki gani
karibuNaupenda sana huu wimbo aseeeh
Mkuu Grace Matata karudi kwenye game.kipaji hiki sikisikii siku hizi! nini kimemkuta mwanadada huyu
hii nimeipata mkuu!Mkuu Grace Matata karudi kwenye game. View attachment 441305