Somo ulilolipenda sana darasani

olevel... masomo ya sayansi

advance... geography hasa physical na adv. mathematics

chuo...structural design,general maths, design of irrigation systems, electrical engineering basics, computer na waste water management
 
Kemia raha sana ya olevel niliwahi gonga 100 form 3 kiukweli ndio somo nililolipenda zaidi niliposogea advance mmmh likaanza kua kiaina nikapenda biologia. ......
 

Biology na topic ni Reproductive Health.
 
Mimi nilipenda sana hesabu na nilikuwa mtabe O'level, na sijutii kwa professional niliyonayo inalipa. Pamoja na kuwa nilikuwa naweza biology (nilipata A kwa A'level) ila baadaye nilirudia wito wangu wa hesabu ktk chaguzi za kozi chuo.
 
Chemistry na English, lol! lakini sikuwa najua nikikomaa na chemistry ntaishia wapi mwisho wa siku nimejikuta kwa medical field huku mi bilikuwa napenda ma chemical rxn, partition etc! sikuwa naiweza sana biology lakini ndiyo inanipa ugali kwa sasa!
 

Duuuh, unatisha aisee
 
Chemistry na English, lol! lakini sikuwa najua nikikomaa na chemistry ntaishia wapi mwisho wa siku nimejikuta kwa medical field huku mi bilikuwa napenda ma chemical rxn, partition etc! sikuwa naiweza sana biology lakini ndiyo inanipa ugali kwa sasa!

Biology mpango mzima
 
Advanced Physics and Advanced Mathematics. PCM pale oldmoshi secondary school, chini ya mwalim kinunda. sitokaa nimsahau maana ni moja kati ya watu walioplay part kubwa saana kunifikisha hapa nilipo. hakika niliyafurahia saana masomo yangu. na namshukuru Mungu nilifaulu kwa kiwango cha juu kabisa kwenda university na sasa naitendea haki elimu yangu.
 
Napenda sana Mathematics tena kutoka moyon kabisaa, ndoto zangu ilikua baada ya kumaliza form4 niende DIT kusoma Mec engineering lakini mwisho wa siku Math nikapata B, phy C, Chem D (CSEE 2011). "D" ya chemistry ikasababisha nishindwe kuchaguliwa DIT nikapelekwa Advance PCM. Advance sikufanya vizuri sana ila kwasasa nipo chuo flani nasoma bachelor of education(science) mwezi wakumi mwaka huu naingia mwaka watatu. Lakini naamini ipo siku moja nitakuja kusoma Automobile Engineering hata kwa level ya diploma(vigezo vya kusoma degree vimebadilika). Yani nasoma ualimu huku sina furah, kwani nahisi Mathematics ndio kilakitu kwangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…