Somo kwa Wanandoa - inawahusu waliooa na walioolewa tu

Ilo zoez unadhan ni dogo et, wataalam wanasema ukimaliza mshindo mmoja ni sawa na kukimbia kwa speed ya 30/km umbali wa km 4 kwa mshindo mmoja bila kupumzika,

Kwanini usilale hoi
Hapo lazima ulale.......
 
ukichoka maana yake wewe ni abnormal mwili hauko sawa kwenye hormone husika au nerve systen tumia parachichi linasaidia sana utajikuta sio mchovu tena nitafute whats app 0712505049
 
Mapenz ni hisia na yanahitaji ubunifu wa hali ya juu sio kudandia na kukonjoa, kwa hivyo lazma utapumzika baadaye
 
Wakati wa mshindo Kuna hormone zinakuwa released ambazo zinaufanya mwili kurelax...mara nyingi huwa inawatokea wanaume coz mara nyingi wanaume ndiyo huwa wanaridhika...iwapo mwanamke atafikia mshindo 'orgasm' nayeye pia lazima auchape...sasa ukiona wewe tu ndo unalala kila siku demu wako halali ujue shughuli yako ni yakitoto...
 
Harufu ya MTU kupigwa Pesa ya sadaka
Harufu ya MTU kupigwa Pesa ya sadaka
ASUBUH
chai yoyote ,maziwa na viaz/mhogo/maandaz chapati zilizopikwa kwa mafuta ya alizet
Au
Matunda tu karot moja,ndizi moja,tikiti kipande kimoja,parachichi kipande kimoja

Mchana
Wali mboga
Wali maharage
Unaweza kupika kwa mafuta yoyote sababu utaweka kidogo katika upikaj wake
Wali samaki
Wali nyama lazima vipikww kwa mafuta ya alizet na nyama ikaushww kutolewa mafuta yote kisha ipikwe au iliwe

Ugali mboga
Ugali maharage
Kama ugali nyama nyama ikaushwe na kupikwa kwa mafuta ya alizet

Usiku pia hivyohivyo chips mayai na vyakula vingine unaruhusiwa kula ila vipikwe kwa mafuta ya alizet kwani haya mafuta hayagandi mwilini na kuziba mishipa na misuli

Back
Top Bottom