nadhani kunahaja ya vyama pinzani, kujifunzaa saana kutokaa kwa chama tawalaa,, ili wawe na mafanikio makubwa mbeleni, mfano!! Nimekutana na wamama wa hari ya chini kabisaa wanakimbiaaa wakiwahi mkutano wa chamaa, huku wameshikaa benderaa, nadhani achiliaa mbali msukumo wanao upataa kutokaa kwa viongoz wao!! Nadhan wanamapenzi na chama Chao. Nadhan niboraa kuachanaa na watu hawaa wanao tumiaa smartphone,, halafu wanatudanganyaa niwanachamaa kindakindaki, matokeo yakee ikifikaa wakati wa mikutano ya chamaa hawaend kusikilizaa viongozi wao,, wanakaa masebuleni kwao nakuanzaa kuangariaa pichaa za mkutano mtandaoni,, hiyo huwaa inaendaa mpakaa kipindi cha uchaguzi,. Nadhani ni boraa kuanziaa kwenye shinaa!! Tujengee mifumo ya kuwafikiaa watu wa hali ya chini kabisaa,, na hii inawezekanaa kwa viongozi kuanzaa kutengenezaa mtandao mrefuu na unaoaminikaa kwa watu,, mpakaa Kwa mabalozi wa nyumbaa kumi.