Mi naona powa tu. Usipochukuaga hayo mafuta si yanaenda kumwagika ardhini. Total loss. Kama wanayavuna na kuyahifadhi mi naona fresh tatizo tu ni safety.

..Hakuna cha uangalifu hapo anaweza kutokea mwehu mmoja akaamua tu kuwafanyia uharamia wenzake na somo likawa tofauti kabisa...acha bana watu hovyo kabisa.