Sometimes Watu wa Mkoani Wanaboa Sana.Wakiona Mtu uko Soft,Miwani Classic na Maji Mkoani Lazima wakupe Shikamoo.Hivi Wanawazaga nini?

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Hii ni Moja ya observation yangu na usiombe uwe na kagari na uende kwenye Mikoani hasa Usukumani aisee utapokea Shikamoo Hadi ukome.

Kuanzia Baba ,Mama watu wazima Hadi Watoto wote wanakusalimia Shikamoo.

Mimi Huwa najiuliza Huwa wanaliwa wanakuwazia nini? 🤪🤪🤪🤪🤪

Huwa nawaitokia tuu marhaba hamjambo? Sijalishi una ndevu au maziwa yameelekea Kibera🤣🤣
 
Upite na huku ushirombo tushirikiane kuokota shikamoo
1702216344995.png
 
Sema uko home kula raha mgeni sisi hatuna noma na mtu ni watu poa sana.Ushauri mwanaume usijisifu uko soft ww ukiangukia mombasa fasta tu una left group mwanaume kua na mwonekano wa kigumu sasa ww uwe soft na mkeo soft🥱
 
Back
Top Bottom