Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,233
- 138,746
Ameponzwa na Tamaa ya umaarufu, madaraka, marafiki kumpa kichwa , kiburi , ushamba na u much know ........
Ameponzwa na Tamaa ya umaarufu, madaraka, marafiki kumpa kichwa , kiburi , ushamba na u much know ........
Hii ni kama thread ya tatu ama NNE....ulizoanzisha kuhusiana na Zitto...yaonekana mahaba yako kwake bado yanashamiri
Kwa kuwa ni politician aliyenifanya niipende Chadema. Sina budi . Sababu nyingine ni Mods kufuta threadz zangu juu ya Zitto , sasa kiu haikatiki
Katika watu wa kulauiwa sana kuhusu kumuharibu Zitto ni January Makamba na Kikwete
Mkuu hizi hapa habari zake na comments mbili tatu aizopata, zingine hakuna kabisa utadhani ametupia ''just now''Hata mie namuonea huruma sana zitto facebook alikamata followers wengi kwenye page yake lakini akitoa habari yeyote ya ufisadi anapata comments mbili au tatu sometimes anakosa comments kabisa mtu wa followers zaidi ya 30,000 inasikitisha sana.
Mkuu hizi hapa habari zake na comments mbili tatu aizopata, zingine hakuna kabisa utadhani ametupia ''just now''
- Zitto Z Kabwe
15 hours ago via TwitterLikeLike · · @zittokabwe on Twitter · Share
- @SwahiliHub: KORTI ya Rufaa yasimamisha kufanywa kwa malipo zaidi ya pesa za Anglo Leasing hadi iliyowasilishwa na LSK. I envy Kenya
- 9 people like this.
Write a comment..
Zitto Z Kabwe
18 hours ago via TwitterLikeLike · · @zittokabwe on Twitter · Share
- #TANESCO costs of purchased electricity increased from tshs 346 billions to tshs 528 billions !
- 8 people like this.
Anderson Rwehumbiza Rwiza Wanatunyonya hao
17 hours ago · Like
Said Sass Kimya kimya na nani anabeba lizigo hilo...na bado tuna promote waje kuwekeza katika viwanda.
Bado Maji gharama zake.mh.
17 hours ago · Like
Belinda Manfred Tumekwisha.
17 hours ago · Like
Write a comment... Zitto Z Kabwe
18 hours ago via TwitterLikeLike · · @zittokabwe on Twitter · Share
- #TANESCO costs of own generation increased from tshs 230 billions in 2011 to tshs 401 in 2012 ! Same amount of power produced as previous yr
- 5 people like this.
Write a comment...

Write a comment. Zitto Z Kabwe