Sometimes mambo yanaenda kombo

Nzona

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
4,067
Reaction score
6,308
Heir ya jumapili ndugu zangu wa Jf mko poa nyie sometimes mambo yanaenda kombo sana wadau, naombeni mnisaidie kifedha japo ata ya siku hii wakuu napitia magumu yaliyo nje ya uwezo wangu kwa heshima yenu naomba mnisaidie πŸ˜”
 
Pole ndio tafsiri harisi ya mwanaume ila nakushauri jambo hili ulipaswa kuwa shirikisha marafiki zako wa karibu kabla ya kuja mtandaoni huku hakuna wasaidiaji wengi ni wachambaji
 
Naomba msaada wenu wakuu πŸ™ 0622730684
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…