Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
[emoji23] [emoji23]Duuuuuh.....ukweli mchungu
Umeongea kwa uchungu sana aisee!Punguza msongo wa mawazo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanini upende mademu hawa wakibongo..we kula tu, piga mashine tu..bt jua hata mkeo mtarajiwa ndicho anachofanyiwa, dadako ndcho anachofanyiwa na watoto wako wakike nao ndicho watakachofanyiwa..none sense
Usishirikishe Moyo Bali akili tuPenda bila kushirikisha moyo au akili ...?
Mkuu hii dunia yetu ina vikanuni vidogo vidogo lakini muhimu kuvijuaKwanini upende mademu hawa wakibongo..we kula tu, piga mashine tu..bt jua hata mkeo mtarajiwa ndicho anachofanyiwa, dadako ndcho anachofanyiwa na watoto wako wakike nao ndicho watakachofanyiwa..none sense
Mkuu lakuambiwa changanya na zako.Mkuu hii dunia yetu ina vikanuni vidogo vidogo lakini muhimu kuvijuaView attachment 835356
Yote heri mkuu lakini epuka kutegemea mazuri tu kuja upande wako. Dunia haipo fair usijikute kila siku unalia wewe tuMkuu lakuambiwa changanya na zako.