Sometimes kumiliki simu yenye "RAM" kubwa ni upuuzi tuu

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
11,045
15,380
Wakuu habarini!!!!!!!
Hivi inakuwaje unakuta simu ina RAM eg. 4GB af unakuta 3GB zinatumika na System af ww unabaki 750MB kwa ajili ya user applications

Naona nafuu turudi enzi za utumwa za RAM 256Mb

My thoughts ni kwamba at least katika 4GB RAM, @ 3Gb ziwe za user App na @ GB iwe ya OS na upuuzi wake.
 
hizo ni bloatware zinazokuja na simu zinafanya hivyo. simu mpya ila tayari ina application 100. Hasa Simu za samsung, Tecno, na wachina wanaotumia skin nzito kama xiaomi na Huawei. wanaongeza Ram kama marketing tu hali ya kuwa Free Ram ni ile ile miaka nenda rudi.

kama unapenda simu ambazo ni free of blotware tafuta simu zinazotumia android one, then utai customize unavyopenda wewe. inaweza ikawa kama skin yoyote ya android unayoitaka wewe.

au hio hio simu yako yenye free ram ndogo unaweza ukai root na kuweka custom rom kama lineage ambayo haina tofauti sana na stock rom (Android one), mimi kwa simu yenye ram 2Gb napata free ram around 1.5GB mpaka 1.2GB
 
Naomba msaada kuroot simu yangu tecno CX, natanguliza shukrani.
 
Wakuu habarini!!!!!!!
Hivi inakuwaje unakuta simu ina RAM eg. 4GB af unakuta 3GB zinatumika na System af ww unabaki 750MB kwa ajili ya user applications

Naona nafuu turudi enzi za utumwa za RAM 256Mb

My thoughts ni kwamba at least katika 4GB RAM, @ 3Gb ziwe za user App na @ GB iwe ya OS na upuuzi wake.
Tecno ndo wana usenge huo
 
hizo ni bloatware zinazokuja na simu zinafanya hivyo. simu mpya ila tayari ina application 100. Hasa Simu za samsung, Tecno, na wachina wanaotumia skin nzito kama xiaomi na Huawei. wanaongeza Ram kama marketing tu hali ya kuwa Free Ram ni ile ile miaka nenda rudi.

kama unapenda simu ambazo ni free of blotware tafuta simu zinazotumia android one, then utai customize unavyopenda wewe. inaweza ikawa kama skin yoyote ya android unayoitaka wewe.

au hio hio simu yako yenye free ram ndogo unaweza ukai root na kuweka custom rom kama lineage ambayo haina tofauti sana na stock rom (Android one), mimi kwa simu yenye ram 2Gb napata free ram around 1.5GB mpaka 1.2GB
Mkuu unaposema android one unamaanisha nn??
 
aisee inakuwa ngumu kwa wengine pia sidhani kama lazima sana acha tu RAM ziwe kubwa kurahisishia wengine wasioweza au wasiojua hayo ma process
 
original form ya android, kabla manufacture hawajaeka apps zao na skin zao. ndani ya android one kuna apps za google tu hutakuta app yoyote zaidi. hivyo wewe ndio muamuzi ujaze hizo apps au zikae chache uweze ku multitask vizuri.
 
aisee inakuwa ngumu kwa wengine pia sidhani kama lazima sana acha tu RAM ziwe kubwa kurahisishia wengine wasioweza au wasiojua hayo ma process
Ram ikiwa nyingi ni jambo zuri hatukatai, ila haina faida una simu ina ram 4gb inapitwa kwenye multitasking na simu yenye ram 2gb, mwenzako kalipa laki 3 anapata perfomance nzuri kuliko wewe uliolipa laki 6. inatakiwa Ram iwe kwa faida ya mtumiaji na sio muuza simu.
 
sema hizi mambo sisi wana tech ndio tunajua kuzitumia effectivly au kununua simu kutokana na mahitaji
 
Back
Top Bottom