Something From Nothing

Ndege ipo wapi? Naona sasa unasaidwa kufuta maswali yetu. Hapa. Tuna weka vitu unapo shindwa unaomba msaada ili wafute maswali.

LAKINI HATUSAHAU KAMWE.

Maswali gani yamefutwa?,Unaona ulivoumbuka kwa kudanganya?.Umesema sijajibu maswali,nimekwambia yalete unasma yamefutwa na nani?.

Yaan we inaonekana husomi kabisa hata kile ninachokijibu humu .Hili swali la ndege iko wapi nimemjibu mara nne na bado anauliz akitu kile kile nawe unauliz akitu kile kile,.Mnamatatizo.Lakini kwa sababu ya wengine nitajibu.

Kushindwa kwa Sayansi kuionesha ama kujua Malaysia plane ilipo haimaanishi kwamba kuna mungu!.Nilikiri kwamba ye Sayansi imeshindwa kuipata ama kujua ilipo lakini nikaomba mumwambie mungu wenu atusaidie maana ye anaweza yote!.Mkasepa kimoja..Sayansi inakua kila kukicha,
Nikaambia pia kwamba mungu gani mwenye upendo wote ameaxha watu zaidi ya 200,wapotee ? Ama anashindana na Sayansi kwa kupoteza watu?Huyu ni mungu kwel?.

Nika waambia kwamba kushindwa kwa sayansi katika swala hilo haitoi majibu kwamba mungu ni mkuu ama yupo.MUNGU WENU NI IDEA AMBAYO HAINA UHAKIKA,Na hakuna aliye na hakika hata kama kuna Nguvu hyo,iapokuwa ni uoga wetu wanadam kutokana na ufinyu wa maarifa.

Dini ni UONGO WA ZAMANI UNAOPITWA NA WAKATI.,nikawaambia,we are on aor way kill your unseen god,after we have killed a lot of your previous gods,such as God of the Sun ,god of the moon ,gos of the stars etc.Wait and you will see,.Its only a matter of times.

Nikawauliza maswali humu mkayakimbia lakini nitayaweka hapa chini ili mjaribu kujibu.
 
Maswali gani yamefutwa?,Unaona ulivoumbuka kwa kudanganya?.Umesema sijajibu maswali,nimekwambia yalete unasma yamefutwa na nani?.

Yaan we inaonekana husomi kabisa hata kile ninachokijibu humu .Hili swali la ndege iko wapi nimemjibu mara nne na bado anauliza kitu kile kile nawe unauliza kitu kile kile,.Mnamatatizo.Lakini kwa sababu ya wengine nitajibu.

Kushindwa kwa Sayansi kuionesha ama kujua Malaysia plane ilipo haimaanishi kwamba kuna mungu!.Nilikiri kwamba ye Sayansi imeshindwa kuipata ama kujua ilipo lakini nikaomba mumwambie mungu wenu atusaidie maana ye anaweza yote!.Mkasepa kimoja..Sayansi inakua kila kukicha,
Nikaambia pia kwamba mungu gani mwenye upendo wote ameaxha watu zaidi ya 200,wapotee ? Ama anashindana na Sayansi kwa kupoteza watu?Huyu ni mungu kwel?.

Nika waambia kwamba kushindwa kwa sayansi katika swala hilo haitoi majibu kwamba mungu ni mkuu ama yupo.MUNGU WENU NI IDEA AMBAYO HAINA UHAKIKA,Na hakuna aliye na hakika hata kama kuna Nguvu hyo,ispokuwa ni uoga wetu wanadam kutokana na ufinyu wa maarifa.

Dini ni UONGO WA ZAMANI UNAOPITWA NA WAKATI.,nikawaambia,we are on our way kill your unseen god,after we have killed a lot of your previous gods,such as God of the Sun ,god of the moon ,god of the stars etc.Wait and you will see,.Its only a matter of time.

Nikawauliza maswali humu mkayakimbia lakini nitayaweka hapa chini ili mjaribu kujibu.
 
Last edited by a moderator:

1. Ukweli ni upi?
2. Umesema Mungu hayupo,alafu unataka umuuwe,unaua kitu kisichokuwepo?alafu umetumia kigezo gani au njia gani kujua he is unseen?kitu umesema hakipo tena kimegeuka kimekua unseen?
3. How did you kill them

finally,your post is pointless and bogus.
 
Jamaa ni janga kweli kweli, hajitambui hata,wala uwezo wa kujiuliza hata swali dogo kama ''NANI ALI DESIGN HUMAN FINGER PRINT'' kiasi kwamba binadam wote wanakuwa na ''signature unique'' isiyofanana wala kuingiliana na ya mwenzake hata kama ni identical twins...
 
1.Ukwel kuhusu asili yetu
2.Nimesema mungi ni Idea na tunataka tuiue hiyo idea.Dini ni ulaghai na uongo wa Kizama unaopitwa na wakati.

3.We killed them bye showing the Truth that,The Universal came from nothing!.The Universal has a simple beginning and can be explained easily than god's idea which is a complex entity .
 
Ona ulivo wa ajabau,Unaongelewa Finger prints!!.Those scripture can be translated into millions of meaning!.What dd your Koran say about Appendix ?and DNA?
 
Ona ulivo wa ajabau,Unaongelewa Finger prints!!.Those scripture can be translated into millions of meaning!.What dd your Koran say about Appendix ?and DNA?

Nimejitahidi sana kudecode andiko lako nimetoka kapa. usijifanye umekosea kutaja kitabu cha mungu wako Koran. Chochote kilichoandikwa kwenye quran kwangu ni story sawa na alfu lela ulela etc etc. hakina sifa kuwa na asili ya maamrisho ya Mungu.
Appendix and DNA...Mungu alimuumba binadam mkamilifu, wewe unasema Appendex na DNA vitu ambavyo ni sehemu ya Uumbaji una uzima kichwani ?
Ungekuwa mjanja ungejiuliza hivi DNA code kweli ilitokea by chance ? au hili la kila binadam kuwa na FINGER PRINTS zisizofanana na za Binadam mwingine awaye yote kweli ni tokeo la ajali na si mpangilio maalum ? wajanja tunajiuliza Misukule wa Kukariri mnaona yote ni matokeo ya NOTHING.
 
Mungu alimuumba binadam mkamilifu, .

Haya,nambie Dawa ya Appendex na sikoseli kiimani ni ipi.Ama nambie Bible na Koran zinasemaje kuhusu Appendix na Sikoseli.Bila Operation(sayansi) mgonjwa apelekwe kanisani ama mskitini.
 
Haya,nambie Dawa ya Appendex na sikoseli kiimani ni ipi.Ama nambie Bible na Koran zinasemaje kuhusu Appendix na Sikoseli.Bila Operation(sayansi) mgonjwa apelekwe kanisani ama mskitini.

Kijana unamatatizo kweli kweli.

DAWA YA KILA UGONJWA KUTOKANA NA BIBLIA NI:
Jina la Yesu. Soma Mark 16:17-18.

Kwenye dini yako ya kuzaliwa, hakuna jibu kule.
 
Maswali gani yamefutwa?,Unaona ulivoumbuka kwa kudanganya?.Umesema sijajibu maswali,nimekwambia yalete unasma yamefutwa na nani?.

Nikawauliza maswali humu mkayakimbia lakini nitayaweka hapa chini ili mjaribu kujibu.
Of course, I need science to show me where is Malaysian Airline "Flight 370"?
1. How comes radars can't locate the flight?
2. Where are the 200 plus passengers?
3. For "science" sake, where is Malaysia's Flight 370?

Why is promptus "flight 370" invisibilia?
 
Mbonavunapenda majibu kuliko maswali!?.Halafu eti unaweka mipaka ya jinsi unavotaka ujibiwe.Basi chagua jibu hapo mwenyewe maan ushayaweka hapo

Mbona nawajibu mkuu wapi sijajibu?
Jibu swali Free ideas
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…