Someone Like You- Adele

Someone Like You- Adele

Vijana Jazz au Twanga vipi jamani? Mbona mnakuwa watumwa wa kupenda vya nje wakati bongo tuna nyimbo nzuri zaidi ya hizi? Bar Maid - Vijana Jazz. Ukubwa Jiwe - Twanga. Penzi Kizungumkuti - Msondo. Jinamizi La Talaka - SIkinde. Mwanameka, Mayasa, Zuwena - Marijani Rajabu.
 
Anaongoza kwa mauzo ,,anaimba kwa hisia sababu kayapitia,,anaimba uhalisia sio wengine wanaimba ufeki
 
Back
Top Bottom