"Majuto ni mjukuu"Mkuu ina maana hata magazeti hasomi ?
Zanzibar siyo nchi. Haitambuliki kimataifa.Taarifa ilishatolewa na SMZ sasa ya nini kutoa taarifa mbili mbili?
na je kuna sheria gani ya Kimataifa iliyovunjwa?
[h=6]Bernard Kamilius Membe
[/h][h=6]Serikali imepokea taarifa kuhusu tuhuma za meli za Iran kupeperusha bendera za Tanzania ili kukwepa vikwazo. Serikali ya Jamhuri ya Muungano na SMZ hazitaki kupuuza taarifa hizi. Serikali zote mbili zimeamua kufanya uchunguzi ili kuthibitisha. Tanzania imewaarifu nchi zilizolalamika marafiki kuwaomba kusaidiana nasi kufanya uchunguzi na kushirikiana kuthibitisha taarifa hii. Tumefanya hivyo kwa kuzingatia uwezo wetu wa kiutafiti na kutaka utafiti huu kuwa huru kwa kuwashirikisha wao wenye ujuzi mkubwa. Tunafanya hivyo kwa kuwa wakala wa ZMA anayefanya kazi za kusajili amekana kusajili meli za Iran, Balozi wa Iran nchini aliitwa akakanusha. Tutakapopata matokeo ya utafiti na ikithibitika kuwepo na ukweli hatua zitachukuliwa mara moja. Tukithibitisha tuhuma hizi tutafutilia mbali usajili wa meli hizo. Tunafanya hivyo kutimiza wajibu wetu kimataifa hususan Azimio 1920 la UN Security Council.Tanzani sio adui wa nchi yoyote duniani. Tunafurahia mahusiano yetu na nchi zote duniani. Hili ni jambo linalogusa maslahi ya Tanzania nje na maslahi ya Tanzania ya ndani (Muungano), tujihadhari na namna tunavyolizungumzia. Tusimame pamoja kama taifa. Nchi kwanza!
[/h]
Kwa kumrahisishia, Membe apande boti aende Zanzibar kwenye baraza la wawakili na aombe kupitia hansard za BLW.
Sijui JK ameweza kujibu hii. Watu wa IT please help kuiweka vizuri.
http://media.bloomberg.com/bb/avfile/rRDz4X6zAwaQ
Zanzibar siyo nchi. Haitambuliki kimataifa.
Zanzibar siyo nchi. Haitambuliki kimataifa.
Bernard Kamilius Membe
QUOTE]Serikali ya Jamhuri ya Muungano na SMZ hazitaki kupuuza taarifa hizi. Serikali zote mbili zimeamua kufanya uchunguzi ili kuthibitisha.
Sheria ipi ya kimataifa imevunjwa?
Sasa anahitaji kufanya utafiti gani ili hali Zanzibar ilishakubali kwamba imesajili hizo meli? Hivi hawa watu huwa hawawezi kabisa kuwa straight katika kauli zao na kuomba radhi pale wanapokosea, isipokuwa kupindisha ukweli na kuleta blabla? Kwanini wasimtimue huyo waziri aliyehusika, waiombe radhi jumuia ya kimataifa na kufuta tu huo usajili badala ya kuanza longolongo?
Hii nchi bwana....mi nikajua ATAFUNGWA mtu aliye sajili
Membe wala JMT haina uwezo wa kumfukuza waziri liehusika, ni haki ya Wazanzibar kufanya hivyo. Kama tatizo bendera tutatoa tuweke ya Zanzibar. Aache kuongea pumba ''blaaa blaaaaaaaaa'',hajui wala hajielewi anasema nini.Sasa anahitaji kufanya utafiti gani ili hali Zanzibar ilishakubali kwamba imesajili hizo meli? Hivi hawa watu huwa hawawezi kabisa kuwa straight katika kauli zao na kuomba radhi pale wanapokosea, isipokuwa kupindisha ukweli na kuleta blabla? Kwanini wasimtimue huyo waziri aliyehusika, waiombe radhi jumuia ya kimataifa na kufuta tu huo usajili badala ya kuanza longolongo?