Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Habarini,
mimi nimeona nimuite chaupele au kipereto,mimi sio mkamilifu ila huyu aisee upungufu wake unaonyesha dhahiri,ni limbukeni daily kumsema mama mkwe na wifi zake kuwa ni wenye dhiki,lakini still anahitaji kijana wao amuoe,kila siku ni kujisifia vtu ambavyo tunajua hana bt tunamkaushia,sasa huu ni mwaka wa pili anahairisha tu ndoa na huyo kijana na wanaishi wote na mtoto walishazaa,tunamtakia kila la heri isipitilize tena november hii,maana ameshachorea watu muundo wa pete yake ya engagement ilivyo,kiukweli huyu demu ni noma,namshauri ajirekebishe maana jamii inayomzunguka inamuona kituko.
Nadhani mtakubaliana na mimi nilivosema ni bint chaupele kwa hayo machache maana yapo mengi naeza andika hadi kesho
am not a hater,peace sana