Somebody pray for me

Pole sana mkuu,hio hali wanaipitia wengi sema wengine hawawezi kuelezea wanakumbwa na nini? Jitahidi kusahau mambo uliyokua umeyatarajia sana siku zilizopita, maana suffer zote hutokea kwa sababu umekua attached na mambo ambayo hukuwa na uwezo nayo, Hivyo unashindwa kuona mbele kwa sababu ya mambo yaliyopita. Jisamehee, samehee wengine na umwelekee Mungu pekee huku duniani hakuna msaada zaidi ya kumwelekea Mungu katika Roho na kweli.
 
Nmesoma hii uzi Davie m feel sorry for you. Be stronger , do not give up .Attach your soul toGod , maisha yanahitaji ujasiri sana . Nataman ungetuelezea unaugua ni nini dear
 
do the fund me procedure then tuombe moderator aiweke sticky thread sisi tutachangia kulichopo na kushare kwenye social networks nyingine.
usikate tamaa let us try to so something to you
 
Kama umeweza kutuma hii msg uku basi wewe Ni mshindi, Mtafute mtu mwenye Nguvu na Pendo la Mungu ndani yake aongee na wewe.
 
Nmesoma hii uzi Davie m feel sorry for you. Be stronger , do not give up .Attach your soul toGod , maisha yanahitaji ujasiri sana . Nataman ungetuelezea unaugua ni nini dear
Ana partial paralysis
 
Pole Sana mpendwa.
Umtafute dina mario umueleze tatizo lako kinagaubaga..nahakika atafanyika msaada kwako..Mungu akupambanie mpendwa wangu.
 
Pole sana ndugu. You can find rest if you know the truth. The truth is “Come to Me, all who are weary and heavily burdened [by religious rituals that provide no peace], and I will give you rest [refreshing your souls with salvation]. These are the Word of Jesus.
Unahitaji msaada wa Kiroho zaidi. Tafuta kanisa lenye kuhubiri Neno la Mungu watakupatia msaada. Kama utataka nikuunganishie na wachungaji wa kukusaidaia nitumie inbox.
 
Let him be filled with patience and joy in your presence as he waits for your healing touch. Please restore your servant to full health, dear Father. Remove all fear and doubt from his heart by the power of your Holy Spirit, and may you, Lord, be glorified through his life...... Amen🙏
 
We will pray for you
But the remedy is inside yourself
Try to have some good thoughts
Look oround, am sure you will all the blessings God has given you
 
Mungu akupe nguvu uvuke salama kwenye hayo majaribu aise I feel your pain brother!!
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…