Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,845
- 141,221
Something is not adding up!Lissu, Ben Saanane,...
Then Mbowe caught empty with no guards!
Where is a blue guard?
Wale blue band sijui blue guard hawapo siku hiziSecurity ndio inazuia mtu kushambuliwa? John F Kennedy alikufaje tena akiwa rais, Karume Je? wewe endelea kubeba box tu uelewi kinachoendelea tanzania!
Oh yeah.Security ndio inazuia mtu kushambuliwa? John F Kennedy alikufaje tena akiwa rais, Karume Je? wewe endelea kubeba box tu uelewi kinachoendelea tanzania!
Security ndio inazuia mtu kushambuliwa? John F Kennedy alikufaje tena akiwa rais, Karume Je?
Yaani kila mtanzania awe na mlinzi police wafanye kazi gani? Mo, Roma, Ney, Ben Saanane, Azory na wengine wawe na walinzi?
Tuna tatizo la magenge ya wahuni ndani ya serikali na police wanaopanga mbinu za kuumiza wapinzani.
Wewe endelea kubeba box tu uelewi kinachoendelea Tanzania!
Hahaha...ujumbe huu pia uwafikie Lissu na wale wabeba box wenu mashuhuri.Security ndio inazuia mtu kushambuliwa? John F Kennedy alikufaje tena akiwa rais, Karume Je?
Yaani kila mtanzania awe na mlinzi police wafanye kazi gani? Mo, Roma, Ney, Ben Saanane, Azory na wengine wawe na walinzi?
Tuna tatizo la magenge ya wahuni ndani ya serikali na police wanaopanga mbinu za kuumiza wapinzani.
Wewe endelea kubeba box tu uelewi kinachoendelea Tanzania!
Tunahitaji kwanza general security ya watanzania wote then ndio tuje kwenye personal security. polisi wawalinde watu wote kwanza bila ubaguzi wa kisiasa.Unataka kusema angekuwa na walinzi isingesaidia chochote kile??
Oh yeah.
It can be a deterrence, too.
Hebu kajaribu kumshambulia Magufuli uone...
Sheria ya Vyama Vya Siasa hairuhusu chama chochote kumiliki jeshi or whatever kinachofanana na jeshi mkuu.Lissu, Ben Saanane,...
Then Mbowe caught empty with no guards!
Where is a blue guard?
Mkuu kiongozi mkuu wa upinzani anapewa ulinzi na serikali bure...Mh.Mboye ana walinzi wazuri sanaSheria ya Vyama Vya Siasa hairuhusu chama chochote kumiliki jeshi or whatever kinachofanana na jeshi mkuu.