uyu sjui kasomeshwa na kulelewa na shemej yake?
aakana adabu hata kdg sjui ndo wale wanaojifanyaga matawi na kukataa hali zao za asili na kujifanya matawi kumbe wa mwsho kulala wakwanza kuamka kwa shangazi mbagala?
Rose........umenena dada,.amenipotezea mood kabysa:mad2::mad2::mad2:..watu wanafanya kaz day n nyt then anasema hvo?au umesahau behind the success of any man there is a woman?hata iwe ur mum..THINK