Tuambiane zinaweza kutumika kawaida au ni mafundi simu tu maana mtu anaweza kujidai shababi kama masai aliyeona fundi simu anasafisha cm.na maji maalumu pamoja na mswaki akaenda kujaribisha yake kwa madai amegundua utapeli wa fundi kumbe dawa ni kupigisha cm. Mswaki cm. Ikafa so tuambizane zinatumika wakati gani wandugu
Wakuu msaada tafadhali simu yangu inanizingua kwenye LCD huwa inakata mwanga ila kwenye keypard inakuwa ipo fresh ila muda mwingine inakuwa fresh yote, tatizo limeanza leo hii!
unazo za simu zingine
mkuu unaposema inakata mwanga unamanisha taa zinakuwa aziwaki kwenye lcd au lcd inakuwa ainyoshi kitu yani inabaki mwanga mweupe jb ni kama sio cm ya kufunua au kuslide itakuwa na lcd mbovu, kama niyakufunua:kuslide itakuwa mkanda or belt