Za masiku! Hivi kuwa na mahusiano na mke wa jirani yako ni dhambi? Ni dhambi kwa sababu umezini!
Je, kulala na mwanamke asiye mke wa mtu ni dhambi? Kwa nini Yuda hakupigwa kwa mawe ila badala yake yule mwanamke aliyekuwa mke wa mwanaye ndiye akataka kupigwa mawe kwa uzinzi?
Kwa nini yule mwanamke aliyepelekwa kwa Yesu na Mafarisayo ndiyo akataka kupigwa mawe kwa sababu ya uzinzi yeye pekee?
Ni kwamba mwanamke asiye na mume ndiye alikuwa eligible kuwa kahaba pasipo kuadhibiwa? Kwa nini wanaume haioneshi kuadhibiwa kwao?
3some ni dhambi? 4some je? Sodoma walichomwa moto kwa ufiraji, yaani wanaume kwa wanaume... je, wanawake kwa wanaume yaani mke na mume? Je, kuhusu oral sex?