Some comments hurt! A little sensitivity goes a long way

huu ni mwanzo, ngoja afike 5+, na ajue ana mashine maswali yake italia

unaweza shangaa unaulizwa 'ina mfupa?'

Naungana na walosema shukuru Mungu.

He is a fine young man, very hansome. Basi atakuwa quite a package.

Mungu anijaalie nimpe malezi mema wajameni eeeh motherhood freaks me out.
 
Hao walikuwa hawamsemi mtoto wala nini....they were just envying you, Karucee...kwamba inawezekana umelamba dume huko home...!


I thought you would have taken it positively and a great pride!

Maybe I worry too much hun. Thanks for the positivity.
 
Hivi ile clip ya yule dada anamgegedesha mtoto wa kiume mmeiona jamani wana jamvi????!!!!!
Kumbe ndio yanaanzia huku mama watoto????!!!!

Karucee
 
Last edited by a moderator:
Hii tabia imeenea sana siku hizi,
Mwanzoni mwa mwaka huu mama ngina alinieleza kitu kama hicho kilimtokea wakati alipokwenda kliniki na haka kenetu wadada fulani walikashangaa wakati kanabadilishwa pampasi...

Ina maana baba ngina naye kajaaliwa. Nasubiri ambao boys wao watashaliwa kwa kuwa na kidudu kiduchu.
LOL
 
Karucee theory yao ni ya ukwelii? Hawezi kurithi hiyo kitu toka kwa either of the babus au hata uncles wa either side?
 
Last edited by a moderator:
Hii tabia imeenea sana siku hizi,
Mwanzoni mwa mwaka huu mama ngina alinieleza kitu kama hicho kilimtokea wakati alipokwenda kliniki na haka kenetu wadada fulani walikashangaa wakati kanabadilishwa pampasi...
Habari yako kaka mtambuzi
 
Karucee hiyo theory yao ina ukweli wowote,kweli dogo amerithi hiyo makitu?

wakati nasubiria jibu ngoja niendelee kupiga pafu mbili tatu.........
 
Last edited by a moderator:
What i know is that great minds discuss ideas, small minds discuss other people,ila sasa hawa wanao discuss watoto cjui minds zao tuziweke wapi....little minds:A S 39:, all in all not cool kabisa!
 
Hivi ile clip ya yule dada anamgegedesha mtoto wa kiume mmeiona jamani wana jamvi????!!!!!
Kumbe ndio yanaanzia huku mama watoto????!!!!

Karucee
Ever hated something/someone with a passion.

Ni hiyo clip.

It makes me sick, it makes me angry, it makes me scream murder.

Makes me wonder, how many of these cases go unreported?

What perils are our kids exposed to as a result of our own doing?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…