Some Bedrooms.......Goood night.

Yallah mbavu zangu...Nimecheka mpaka nimelia haaaaa hio ilikuwa kiboko...Ulipopigwa hilo jikofi ikawaje?

Nkashtuka akanambia unafanya upuuzi gani sikumjibu mana alinikera kanikatiza ndoto yangu hahahahahaha
 
Hahahahahaha wala na wao wamepitia humo humo

Lol, wamepitia ndio lakini kuota ndani ya nyumba yao waonekana mhuni atiii badala ya kukaZania skuli we waota waparamiwa
 
kuna mtu nilisoma nae chuo alikuwa chotara wa kihindi na kinyakyusa alikuwa anaoya usiku kwa sauti mara aitikie karibu, mara aseme watoto wazuri hamjambo katikati ya usingizi usiku wa manane, basi sie tulikuwa tunachekaaa hahahaaa
 

hahahaaa.... mimi49 we haufai aisee waweza mwaga siri za watu hivihivi
 
Last edited by a moderator:
kwa mimi binafsi siwezi kupata usingizi sehemu kama hizo...nshazoea mwananyamala kwa bibi
 
Ivo vitanda kweli vizuri na viko sehem tulivu, watu wengi watapenda walalie. Lkn believe me kama umezoea tanda la ovyo ovyo, na sehemu yenye zogo, ukiekwa sehem kama hio itakuchkua hata mda wa wiki nzima ndo upate huo usingizi mnono. Mimi nakumbuka zamani age kama 20 ivi, nlienda kwa mkubwa flan alikua best wa uncle wangu, ambae anaishi UK, basi chumba nlokaribishwa kulala ilikua full ac. Sikulala mpk asubuhi, baridi hata bedcovers nlikua naona hazisaidii. Nshaizoea kwetu joto, na likizid waweza lala hata na chupi
 
Mhhh....Inakuwa sio fair ukisema hivo kwasababu sijui nilitendalo...Nina app fulani natumia kujirecord kusikia nasema nini sometimes!!

m just thinkig that mamii hivi ikitokea umeenda safari na kushare cost umelala na mate sasa si chumba cha home.utakiweka wazi na mambo yote ya faragha,..imagine farkhina angekuwa kalala na wifi yake!!!!
 
m just thinkig that mamii hivi ikitokea umeenda safari na kushare cost umelala na mate sasa si chumba cha home.utakiweka wazi na mambo yote ya faragha,..imagine farkhina angekuwa kalala na wifi yake!!!!
Sio kwamba naongea always...wakati mwengine nalala thru all night sisemi kitu..Nimechunguza hilo kupitia ile app nilokutajia..Nadhani stress zikinizidi ndo nacharukwa..Nilishare room na shogaangu akaniambia once ulikuwa unaongea lakini hutamki maneno vizuri kwahio sisikii unasema nini...
 
Hahaha, hivi ile technology ya kurecord dreams kwa kifaa fulani ambacho kinapima brain waves imeshafika tz?

Uamuzi tu mkuu kama watu wana push guzzlers hiyo mambo inawezekana pia!!!!!But for what ndio issue...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…