TUTUO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,250 Reaction score 2,036 Oct 19, 2018 #1 Msaada vipanga ,simu yangu baadhi ya apps eg adobe na snap chart zinashindwa ku install.simu ina download hadi 100% kisha inarudia tena. Natumia Oppo f5 network na bundle viko ,setting nimesha allow kunyonya from other sources.
Msaada vipanga ,simu yangu baadhi ya apps eg adobe na snap chart zinashindwa ku install.simu ina download hadi 100% kisha inarudia tena. Natumia Oppo f5 network na bundle viko ,setting nimesha allow kunyonya from other sources.
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Oct 19, 2018 #2 Unapata error gan? Na hzo app una install kutoka playstore au nje ya playstore?