Umeumia? [emoji38][emoji38]Hahaha. Eti Tanzania ni brain of Africa. Wacheni mchezo bwana.
Hahaha. Eti Tanzania ni brain of Africa. Wacheni mchezo bwana.
Hahaha. Nimecheka hio slogan sana. Yaani wale watu ambao ndio wajinga kabisa Afrika ndio wanajiita the brains of Africa. Dah!Jameni inawezekana kuwa kweli, iwe ndio sababu Afrika inaongoza dunia kwa umaskini licha ya raslimali zote hizi. Kha kumbe tatizo lipo kwenye ubongo, hatubuni chochote. Hehehehe
ona hii ndio kiboko yao..... utacheka ufe!Hahaha. Nimecheka hio slogan sana. Yaani wale watu ambao ndio wajinga kabisa Afrika ndio wanajiita the brains of Africa. Dah!
1. South Africa – Rainbow Nation [emoji1221]
2. Rwanda – Land of a Thousand Hills[emoji1206]
3. Madagascar – The Red Island [emoji1155]
4. Lesotho – The Kingdom In the Sky [emoji1147]
5. Egypt – The Gift of the Nile [emoji1093]
6. Burkina Faso – Land of the Upright Men[emoji1059]
7. Ghana- The gateway to Africa / Stars of Africa [emoji1110]
8. Nigeria- The Giant of Africa [emoji1184]
9. Namibia- Land of the Brave [emoji1176]
10. Uganda- The Pearl of Africa [emoji1254]
11. Malawi- The Warm heart of Africa [emoji1156]
12. Zambia- The real Africa [emoji1268]
13. Kenya - the pride of Africa [emoji1139]
14. Tanzania - Brain of Africa (Bongo) [emoji1241]
15. Gambia- the smiling coast of Africa [emoji1108]
16. Ethiopia- the land of origin [emoji1098]
17. Burkina faso - the land of upright men
18. Morroco -the land of colours [emoji1173]
19. Mauritius- the continental island [emoji1164]
20. Comoros- the perfum island [emoji1076]
21. Sierra leone - salon[emoji1214]
22. Chad- the dead heart of Africa [emoji1070]
23. Mali- the eyes of africa
24. Djibouti - the pearl of the gulf of tadjiboura [emoji1089]
25. Cabo verde - llha do
26. Sao tome and Principe- the chocolate island
27. Cameroun- the hinge of Africa [emoji1062]
28. Seychelles - the land of perpetual summer [emoji1213]
30. Gabon - Le bled [emoji1107]
31. Somali - the horn of Africa [emoji1220]
32. Botswana - Peaceful nation [emoji1052].
Add that of your country if not mentioned.
ukitaka kuamini hilo, angalia kwenye maamuzi kama janga la corona.Hahaha. Nimecheka hio slogan sana. Yaani wale watu ambao ndio wajinga kabisa Afrika ndio wanajiita the brains of Africa. Dah!
Hii corona moja ambayo ilipatikana kwenye mbuzi na papai ila leo imeachana na hao mbuzi inaua viongozi wenu ama kuna corona nyingine?ukitaka kuamini hilo, angalia kwenye maamuzi kama janga la corona.
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Africa ni Kubwa sana, Sema KenyaJameni inawezekana kuwa kweli, iwe ndio sababu Afrika inaongoza dunia kwa umaskini licha ya raslimali zote hizi....kha kumbe tatizo lipo kwenye ubongo, hatubuni chochote....hehehehe
The pride of Africa?[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha. Eti Tanzania ni brain of Africa. Wacheni mchezo bwana.
Mpaka Ikulu jamani hodi tunewaletea mchele wa basmat wa Msaada tumeona msife njaa ndugu zetu. ...hodiiii hodiii kwani hawapo wenyeji??Africa ni Kubwa sana, Sema Kenya
Kuwa specific.View attachment 1707451
umejuaje kama hao marehem wanakufa kwa corona!!!!Hii corona moja ambayo ilipatikana kwenye mbuzi na papai ila leo imeachana na hao mbuzi inaua viongozi wenu ama kuna corona nyingine?
😂😂😂ona hii ndio kiboko yao..... utacheka ufe!View attachment 1707238
Mnajivunia kuto kunya hadharani, hongereni maana bongo bado wanakunya hadharaniHahaha. Nimecheka hio slogan sana. Yaani wale watu ambao ndio wajinga kabisa Afrika ndio wanajiita the brains of Africa. Dah!