MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,575 Reaction score 53,613 Nov 10, 2013 #1 Hawatapakiwa kwa malori kiholela, huu ni mpango unaofanywa kwa ushirikiano wa UNHCR, serikali ya Somalia na ya Kenya. Hakuna atakayeshurutishwa, kila mmoja itakua kujitolea kwake. Na itachukua kipindi cha miaka mitatu, sio zoezi la wiki moja la unyama wa kuwaburuta wakimbizi. Standard Digital News - Kenya : Governments sign agreement to repatriate Somali refugees residing in kenya
Hawatapakiwa kwa malori kiholela, huu ni mpango unaofanywa kwa ushirikiano wa UNHCR, serikali ya Somalia na ya Kenya. Hakuna atakayeshurutishwa, kila mmoja itakua kujitolea kwake. Na itachukua kipindi cha miaka mitatu, sio zoezi la wiki moja la unyama wa kuwaburuta wakimbizi. Standard Digital News - Kenya : Governments sign agreement to repatriate Somali refugees residing in kenya
Mauza uza JF-Expert Member Joined Jul 24, 2008 Posts 2,094 Reaction score 1,377 Nov 11, 2013 #2 Afadhali hawa watarudi kwao ..sio hawa wakimbizi wetu watutsi aka banyamulenge hawakawii kusema tz ni kwao kwa hio wanataka haki sawa lol.
Afadhali hawa watarudi kwao ..sio hawa wakimbizi wetu watutsi aka banyamulenge hawakawii kusema tz ni kwao kwa hio wanataka haki sawa lol.