Somalia: Al-Shabab wateka hoteli Mogadishu

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,650
48,413
Vita vinaendelea, milipuko na milio ya risasi zinarindima ndani ya hoteli moja kubwa Somalia, wameamua kujitoa mhanga kwa sababu zao wenyewe....

Al-Shabab gunmen have taken control of a hotel in the Somali capital, Mogadishu. Several explosions and gunfire were heard outside the building.
Al-Shabab fighters have taken control of a hotel in the Somali capital, Mogadishu, on Friday.

"Two car bombs targeted Hotel Hayat. One hit a barrier near the hotel, and then the other hit the gate of the hotel. We believe the fighters are inside the hotel," a police officer who gave his name as only Ahmed, told the Reuters news agency.

The assault triggered a fierce gunfight between security forces and the gunmen who were holed up inside the building, security official Abdukadir Hassan told the AFP news agency.

"We don't have the details so far but there are casualties, and the security forces are now engaging with the enemy who are holed up inside the building," he added.

The director and founder of Mogadishu's Aamin ambulance services Abdikadir Abdirahman told Reuters that so far, nine wounded were taken from the hotel.

Police officers were engaged in an operation aimed at stopping the attack, the state-run Somali National News Agency said on its Twitter account, citing a police spokesperson.

"The unsung heroes of Somali Police Special Unit have rescued many people from Hayat Hotel in Mogadishu as the security forces are dealing with terrorist incident," the agency later added.

Unverified images posted on social media show smoke billowing from the hotel that is a popular venue with lawmakers and other government officials. There are also reports of sporadic gunfire.

Al-Shabab claims responsibility
The al-Qaeda-linked al-Shabab group has claimed responsibility for the attack, according to a translation by the SITE Intelligence Group, which monitors jihadi group statements.

"A group of Al-Shabaab attackers forcibly entered Hotel Hayat in Mogadishu, the fighters are carrying out random shooting inside the hotel," the terror group claimed online.

Al-Shabab attacks Mogadishu frequently and said it was behind an attack on another hotel in the capital in August 2020 in which at least 16 people were killed.

The militant group aims to topple the Somali government, and before a large-scale offensive against the militant group in 2011, it controlled most of the country.

Somalia's new president, Hassan Sheikh Mohamud, said last month that ending Al-Shabab's insurgency required more than a military approach. But he added that his government would negotiate with the group only when the time is right.

ar, lo/sms (Reuters, AFP)
 
Magaidi bhana..anyway ndivyo walivyoagizwa na mola wao.

Acha wampambanie hata kwa kuua waimani yao.

#MaendeleoHayanaChama
d1d94c3446613053b999ccaafd69b7b04c8602f2_00.jpg
 
Timu magaidi huu uzi wanachungulia na kupita kimya kimya..hawajui waseme nini..yani wamepigwa na kitu kizito kwa head hawajua wamtetee nani katika hili.

#MaendeleoHayanaChama
Watu hawa wapo kinyume na Uislamu na kutokana na itikadi yao wao wanaua yeyote asiyewaunga mkono hata awe Muislamu na wamefanya mauaji hata ya waislamu wenzao na watu hao walishatabiriwa toka zamani kua watatokea
IMG_20220808_151259.jpg
d1d94c3446613053b999ccaafd69b7b04c8602f2_00.jpg
 
Hizi ndio sound zenu kwenye mitandao, ila hao wapiganaji wenu kwenye kila taifa la hiyo dini yenu kila wakijilipua lazima waseme wanayafanya kwa ajili ya allah, lazima humo kwenye misikiti kuna vitu mnaaminishana vya ajabu ajabu.
Kumbuka kuna Waislamu na Uislamu wenyewe fikiria kwa ufupi aya hii waislamu wangapi wanatekeleka
DzW8IWnWsAAsZbE.jpg

Ukiangalia hiyo aya na Waislamu wa sasa tofauti na baadhi ndio wahamasishaji wakuu kupitia kazi za miziki.

Soma hiyo chini hapo
1654322536257.jpeg.jpg
hapo sheria za vita za kihalali sio kujilipua haya hazitaki kumuua mtu ambaye yupo kanisani au sehemu ya Ibada na ukicheki hizo hakuna vikundi vya kugaidi vinavyotelekeza hata mmoja hapo juu hata ukiwa msikitini wao wanakufyeka tu ,wanalipua mpk hospitali na kuchoma moto makazi ya watu.
 
Wanamtetea mola wao ili waende peponi. Watakuja hapa wakwambie ji propaganda za wazungu wakati kila siku wanaua watu wanasema wanatetea imani yao. Dini ya ajabu sana hii
 
Hizi ndio sound zenu kwenye mitandao, ila hao wapiganaji wenu kwenye kila taifa la hiyo dini yenu kila wakijilipua lazima waseme wanayafanya kwa ajili ya allah, lazima humo kwenye misikiti kuna vitu mnaaminishana vya ajabu ajabu.
Kipindi kile cha mauaji ya rufiji..hawa wavaa kobazi ndio walikua wanafanya huo upuuzi kwa kutaka kujitenga na kuanzisha serikali yao kuanzia pwani ya kusini..ndio mana walikua wanaua viongozi wa kiserikali..center yao ilikua hapo ikwiriri.

Hii dini ina shida gani sijui..asante kwa serikali ya jpm walikula kichapo cha maisha wengi wakakimbilia huko msumbiji.

Cha ajabu sasa huwezi ona taaisi za imani hiyo zikikemea hayo makundi..bali wengi hukaa kimnya na kujifanya hawaoni kinachoendelea...mwenye akili atajua tu mana ukimya nao huwa ni jibu.

Anyway dini za namna hii kwa ulimwenguu huu wa sasa ni ujinga na upuuzi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kumbuka kuna Waislamu na Uislamu wenyewe fikiria kwa ufupi aya hii waislamu wangapi wanatekelekaView attachment 2329972
Ukiangalia hiyo aya na Waislamu wa sasa tofauti na baadhi ndio wahamasishaji wakuu kupitia kazi za miziki.

Soma hiyo chini hapoView attachment 2329973hapo sheria za vita za kihalali sio kujilipua haya hazitaki kumuua mtu ambaye yupo kanisani au sehemu ya Ibada na ukicheki hizo hakuna vikundi vya kugaidi vinavyotelekeza hata mmoja hapo juu hata ukiwa msikitini wao wanakufyeka tu ,wanalipua mpk hospitali na kuchoma moto makazi ya watu.

Ingekua waislamu kwenye nchi moja au tabaka moja ningeelewa hizi nadharia, ila sasa haya mavitu wanayafanya kwenye kila nchi ya kiislamu, na kila wakiyafanya lazima wataje huyo allah, kwamba wanampigania yeye, nilisoma sehemu hata huyo Mohammed aliwahi kuamrisha kuuawa kwa makafir, hiyo dini mjipange upya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom