Kipindi unafanya mtihani ukiona mwalimu anayekusimamia yupo nyuma yako na anatoa kauli za someni swali vizuri ujue unachojibu sio sahii. Ukiona anakuambia muda hautoshi malizia malizia swali ujue upo vizuri. Maandalizi mema ya final exam NECTA 2018 Kwa QT na Resittters