Soma kuna kitu cha kujifunza hapa.

Soma kuna kitu cha kujifunza hapa.

Kiborondo

Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
35
Reaction score
38
Miaka ya nyuma nilikua nafanya kazi kampuni flani ambapo mimi nilikua na Nafasi ya uongozi.

Nilikua na mahusiano na dada mmoja kiumri yeye alinizid almost 4 years yeye alikua kibarua cha ufagiaji na kukata nyasi eneo la office

.Baadae niliamua kumtafutia nafasi nae akawa mwajiriwa nikamtafutia English course baadae nae akanza kupata kauongozi hv.

Baaadae Nikampa ujauzito nikatangaza kumuoa na harakati za ndoa zikaanza.

Tukapanga mipango ya Send off na tarehe kila kitu . Sasa baada ya miez mitatu hv Nikaanza kuona mabadiliko kutoka Kwa mwenzangu mala kiburi Migogoro isiyo na maana jambo dogo tu Yaani haliishi nikahisi labda Mimba tu inamwendesha.

Sasa kuna Siku nilisajiri raini mpya Sikua nimwemwambia alipogundua Ebwana eeee ulizuka bonge la Motoo Hakunielewa kabisa licha ya kumuomba msamaha wapi Akaniambia Nitaona'Ghafla akasema Nirudishe michango yoote iliyochangwa Kwa ajiri ya Send off' sikuamini baadae aliomba local leave Kumbe bwana kaenda kutoa mimba ilikua 4 pregnant.

Akanipigia simu akaniambia nisimjue kabisa wala nisitarajie kuzaa na yeye na Nirudishe michango yoote.watu weng sana walichanga .sikuamini kabisa Bwana nilichanganyikiwa sanaaa Nikaanza kuvuta Bangi sanaa kiasi kwamba nikawa nacheka pekeyangu tu some time yaani nilibadilika nikawa mtu wa hasira sana .

kawa Sina mawasiliano Tena na Yule mwanamke.Baadae nikaskia Kuna TAJIRI mmoja anakula kiulaini daa nilichanganyikiwa zaidi baadae BOSI wangu aliniita na kuniambia mengi tu Nikaelewa'na wengi walinisihi sana maana nilikua kwenye hatari ya kuweuka kabisa .

Nikaendelea na maisha yangu cha Ajabu wale Mashoga zake wakaanza kushoboka kwangu sanaa ila sikua na time nao.Nikaanzisha uhusiano na shombeshombe wa kiarabu flani muelewa sana na ana maisha yake kifupi yupo vizur sana daaa ndo nikaona Dunia nyingine ya upendo nikaacha kabisa kula ngada maana huyu Demu hapendi hata kuskia.

After six months nashangaa simu Nipo zangu offisini Yule Demu wa mwanzo ambae alienifanyia vitimbi akaja Kwa upole kabisa Eti Anaomba nisamehe sana na anapata lawama nyingi kutoka Kwa ndugu zake marafiki zake baadhi wamemtenga na hata

Yule Bwana ake wameachana Mda tu anaomba turudiane Anasema yupo tayari kulipa gharama zote za harusi ikiwa na mahali alipe yeye' anasema yupo tayari kuwajibishwa Kwa lolote hata kama nikimwambia aache kazi awe mama wa familia yupo tayari anasema hata yeye ajui kilichomkuta mpaka akafanya yale

.Kiukweli nilimwambia aendelee tu na maisha yake Sasa hakujua mm kama Nipo ma mahusiano na msichana mungine cha kushangaza nikifatana hata wafanyaka wenzangu wa kike anachukia.ilifika Kipindi nilimuona ni Mbaya pia namuona kazeeka ghafla licha ya kua ana msambwanda ila hanivutii kabsa mpaka najiuliza ilikuaje mpaka nikiwa na uhusiano nae.

Sasa ikawa kila siku anapiga simu nikawa nazichunia tu.Kuna siku akaja getto ilikua siku ya Off ile anapiga hodi tu akafunguliwa mlango na Yule Demu wangu'Yaani hakuamini anaomba niitwe nikatoka nje'Ile natoka tu nikamuona nikajiwahi nikamwambia Ex wangu huyu ndo ndio mke wangu ndio moyo wangu karibu ndani hakuamini sababu hakingani nae kabisa alisimama mda pale baadae huyo akaaga bila kuongea kitu.

Mwaka juzi aliacha kazi naskia ameolewa Matala yaani yeye ni Mke wa pili Anasongesha maisha yake na Mimi nasonga kivyangu.
 
Unaandika vyema, kwa heading na ulivyofungua lakini jitahidi spacing.

Ikiwa paragraph moja ndefu hivo psychologically, inamfanya mtu atake ku-ignore.

Acha nikasome sasa.
 
Miaka ya nyuma nilikua nafanya kazi kampuni flani ambapo mimi nilikua na Nafasi ya uongozi.Nilikua na mahusiano na dada mmoja kiumri yeye alinizid almost 4 years yeye alikua kibarua cha ufagiaji na kukata nyasi eneo la office.Baadae niliamua kumtafutia nafasi nae akawa mwajiriwa nikamtafutia English course baadae nae akanza kupata kauongozi hv. Baaadae Nikampa ujauzito nikatangaza kumuoa na harakati za ndoa zikaanza.Tukapanga mipango ya Send off na tarehe kila kitu . Sasa baada ya miez mitatu hv Nikaanza kuona mabadiliko kutoka Kwa mwenzangu mala kiburi Migogoro isiyo na maana jambo dogo tu Yaani haliishi nikahisi labda Mimba tu inamwendesha.Sasa kuna Siku nilisajiri raini mpya Sikua nimwemwambia alipogundua Ebwana eeee ulizuka bonge la Motoo Hakunielewa kabisa licha ya kumuomba msamaha wapi Akaniambia Nitaona'Ghafla akasema Nirudishe michango yoote iliyochangwa Kwa ajiri ya Send off' sikuamini baadae aliomba local leave Kumbe bwana kaenda kutoa mimba ilikua 4 pregnant.Akanipigia simu akaniambia nisimjue kabisa wala nisitarajie kuzaa na yeye na Nirudishe michango yoote.watu weng sana walichanga .sikuamini kabisa Bwana nilichanganyikiwa sanaaa Nikaanza kuvuta Bangi sanaa kiasi kwamba nikawa nacheka pekeyangu tu some time yaani nilibadilika nikawa mtu wa hasira sana .Nikawa Sina mawasiliano Tena na Yule mwanamke.Baadae nikaskia Kuna TAJIRI mmoja anakula kiulaini daa nilichanganyikiwa zaidi baadae BOSI wangu aliniita na kuniambia mengi tu Nikaelewa'na wengi walinisihi sana maana nilikua kwenye hatari ya kuweuka kabisa Nikaendelea na maisha yangu cha Ajabu wale Mashoga zake wakaanza kushoboka kwangu sanaa ila sikua na time nao.Nikaanzisha uhusiano na shombeshombe wa kiarabu flani muelewa sana na ana maisha yake kifupi yupo vizur sana daaa ndo nikaona Dunia nyingine ya upendo nikaacha kabisa kula ngada maana huyu Demu hapendi hata kuskia. After six months nashangaa simu Nipo zangu offisini Yule Demu wa mwanzo ambae alienifanyia vitimbi akaja Kwa upole kabisa Eti Anaomba nisamehe sana na anapata lawama nyingi kutoka Kwa ndugu zake marafiki zake baadhi wamemtenga na hata Yule Bwana ake wameachana Mda tu anaomba turudiane Anasema yupo tayari kulipa gharama zote za harusi ikiwa na mahali alipe yeye' anasema yupo tayari kuwajibishwa Kwa lolote hata kama nikimwambia aache kazi awe mama wa familia yupo tayari anasema hata yeye ajui kilichomkuta mpaka akafanya yale.Kiukweli nilimwambia aendelee tu na maisha yake Sasa hakujua mm kama Nipo ma mahusiano na msichana mungine cha kushangaza nikifatana hata wafanyaka wenzangu wa kike anachukia.ilifika Kipindi nilimuona ni Mbaya pia namuona kazeeka ghafla licha ya kua ana msambwanda ila hanivutii kabsa mpaka najiuliza ilikuaje mpaka nikiwa na uhusiano nae.Sasa ikawa kila siku anapiga simu nikawa nazichunia tu.Kuna siku akaja getto ilikua siku ya Off ile anapiga hodi tu akafunguliwa mlango na Yule Demu wangu'Yaani hakuamini anaomba niitwe nikatoka nje'Ile natoka tu nikamuona nikajiwahi nikamwambia Ex wangu huyu ndo ndio mke wangu ndio moyo wangu karibu ndani hakuamini sababu hakingani nae kabisa alisimama mda pale baadae huyo akaaga bila kuongea kitu.Mwaka juzi aliacha kazi naskia ameolewa Matala yaani yeye ni Mke wa pili Anasongesha maisha yake na Mimi nasonga kivyangu.
Muda wote nasoma hii kitu huku mashairi ya wimbo wa professor jay nikusaidieje yanapita pita kwa kichwa. Same story, ila different plots.

Binadamu ndivyo tulivyo. Hatukumbuki wema mpaka ikiwa too late tayari!!
 
Muda wote nasoma hii kitu huku mashairi ya wimbo wa professor jay nikusaidieje yanapita pita kwa kichwa. Same story, ila different plots.

Binadamu ndivyo tulivyo. Hatukumbuki wema mpaka ikiwa too late tayari!!
Asante mkuu
 
Ndo maana tunawakataza kuvuta bangi kuwehuka ni rahisi maana mnavuta mkiwa na stress...Wenzio tunavuta tukiwa tumeshiba vizuri na hatuna msongo wa mawazo.
Huyu sio bangi kuna kitu alichokua anavuta hapa alitumia tasfida ila mbele huko akajisahau akasema ameacha kula Ngada maan shombe hataki.

Kwahiyo mkuu Bangi kama Bangi haimpi mtu tatizo ila wenye matatizo yao wakiitumia ndio hao wanaoiletea lawama.
 
Mapenzi bhana usipokuwa makini utajikuta yanakupeleka pabaya cha msingi upe ubongo nafasi kwa kila kitu badala yakuuachia moyo utawale..





















Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
Mungu Ibariki Gairo
 
Back
Top Bottom