mimi ni kijana nisiekuwa na ajira ila Nina ujuzi wa kutengeneza simu; tatz pesa ya frem ndo cna;saa ombi Langu mtu yyte mwenye kibanda au hata kibalazan au ili niweze kuweka vitendea kazi anikodishie madam pawe na mzunguko wa watu Niko dar; nitashukuru sana,