Soma hii Live Chat mimi na mwanamke ninayemtaka ofisi moja, toeni maoni wazee

Bhana sis πŸ˜‚

Nov kumbe wote tuta celebrate 5yrs za kuwepo jf 🀣🀣🀣πŸ”₯
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
sweets, you're such an observer nilikuwa hata sifahamu lolote, ila mimi nakwenda extra miles, sijawahi lambwa ban hata mara moja..!!🀭
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Mimi si Mwalimu.

Atakuja jamaa kukuambia anza kwa kutumia herufi kubwa unaandika Kiswahili. Hahahaha.

Atamalizia kwa kukuambia hujui matumizi ya alama za uandishi? Kwa nini hujaweka nukta mwishoni mwa sentensi yako?
Kiswahili kigumu sana
 
Wadau huyu manzi nafanyanae kazi ofisi moja kama kawaida nikamuanzishia mission target yangu niwenae ni settle ikiwezekana kuoa hapo baadae.

Nimemfanyia attempt kama mara mbili ajaeleweka kwasababu tumekua na ukaribu I like simplest things nikaanzisha haka ka live chart wote tukiwa tumekaa sehemu moja ofisini, hii ni account yangu ya WhatsApp naandika yeye anajibu, kwamajibu haya wazee toeni maoni basi

Kwavyote nilivyoandika nilikua namaanisha hapo.
View attachment 2780004
View attachment 2780005
Rubbish
 
huyo ni business woman mbona yuko very clear - Tafuta Pesa, Full stop.

kwa business woman kama huyo, hata ukilazimisha ukamuoa, wenye pesa watakua wanamega kisela sana tu.....
Kijuba zaid yaan
 
Wadau huyu manzi nafanyanae kazi ofisi moja kama kawaida nikamuanzishia mission target yangu niwenae ni settle ikiwezekana kuoa hapo baadae.

Nimemfanyia attempt kama mara mbili ajaeleweka kwasababu tumekua na ukaribu I like simplest things nikaanzisha haka ka live chart wote tukiwa tumekaa sehemu moja ofisini, hii ni account yangu ya WhatsApp naandika yeye anajibu, kwamajibu haya wazee toeni maoni basi

Kwavyote nilivyoandika nilikua namaanisha hapo.
View attachment 2780004
View attachment 2780005
To Childish,sijui Walimu wa siku hizi huwa wanawafundisha nini huko mashuleni?
 
Kama uandishi wenu ndo huo basi hicho kiumbe mtakachozaa kitakua kichaa kuanzia asubuhi mpaka usiku wa manane
 
Wadau huyu manzi nafanyanae kazi ofisi moja kama kawaida nikamuanzishia mission target yangu niwenae ni settle ikiwezekana kuoa hapo baadae.

Nimemfanyia attempt kama mara mbili ajaeleweka kwasababu tumekua na ukaribu I like simplest things nikaanzisha haka ka live chart wote tukiwa tumekaa sehemu moja ofisini, hii ni account yangu ya WhatsApp naandika yeye anajibu, kwamajibu haya wazee toeni maoni basi

Kwavyote nilivyoandika nilikua namaanisha hapo.
View attachment 2780004
View attachment 2780005
Gold digaaa
 
Nakadiria umri wako 20-24 haujavuka huu umri nina uhakika.

Kwa ushauri wangu usikimbilie mapenzi subiri kwanza ukue kue .
 
Alielewa tafadhari mi naona waliokuwa wanachati kama vile wanamatatizo ya afya ya akili...
Jamaa alikuwa anajichatisha yeye na vidole vyake kwa kutumia option ya fake chatting πŸ˜‚

Ila tanesco wamesababisha watu kama huyo jamaa washinde na fake chatting hasa vinyozi na na welders
 
Rudi shule kwanza ukajifunze kuandika, utakuja kosa mchumba hivihivi kwa makosa ya uandishi
 
Back
Top Bottom