Kwa mujibu wako unasema?
Yako ilikuwa statemnt miss
Mchepuko ni dhambi,na dhambi ya kwanza kwa binadamu ilifanywa na HAWA ktk bustani ya EDEN.
Kwa maana hiyo mara nyingi mwanamke ndio chanjo cha utendwaji wa dhambi fulani. Nadhani umenipata..
Inawezekan nyie mkawa aliens
Ntaanza kutumia hisia miss. Haya tuulizane basi
Haaha, ulete mrejesho.
Inatokea kwa case nyingi lakini si zote. Wanawake wanaplay part gani kwenye hili ?
Wanavyokuwa wanatembea na nguo za mbano na kuwatega waume za watu kama kuchekea mume wa mtu kujiweka karibu na mume wa mtu inasababisha mwanaume kushawishika...na baadhi ya wanawake kutongoza waume za watu wakiamini si wasumbufu
Yeah, upo sawa kabisa. Wew unaamini wanaume wa watu si wasumbufu ?
Mimi siamini hivyo.. Ila naamini kuwa mwanaume wa mtu kama akusimbue ujue hakupendi na anakutumia pale mkewe wamegombana kwa hiyo anakufanya kama kufuta shida...
Je wewe ulishawahi kutembea na mwanamke wa mtu ?na je ulionaje mahusiano yenu ukilinganisha kuwa na binti ambaye ajaolewa?
Swali pili lilivyo anza its like swali la kwanza nimejibu ndiyo...
Honestly huwa siamin kwenye na mtu ambaye moyo wake ulisha milikiwa na mtu mwingine, Hii ni miongoni mwa dhambi ninazo ziogopa maana kama ulithubutu kufanya tegemea kufanya tena hata kwa rafiki zako au dhambi hiyo kukurudia pia.
Ila inaweza kuwa imetokea umetembea na mke wa mtu bila kujua kama ni mke wa mtu, si unajua wengine hawaishi pamoja.
je, wew ikitokea ume tembea na mume wa mtu bila kujua na akakupa ujauzito kipi utafanya ?
Nitalea mtoto kwa makubaliano na mwanaume kuwa iwe siri kubwa mkewe asijue ila anapokuwa hai aandae assets na matumizi ya mtoto kila inapibidi na kama hawezi nitalea mwenyewe pamoja na changamoto za hapa na pale ila nitapambana mpaka mwisho,
Mtoto hali tani kadhaa kwa siku .. Halali vyumba mia kwa siku bali ni kama mimi tu i.
Je ikitokea umempa mjamzito mke wa mtu na yupo tayari kubambikiza mimba kwa mume wake ili kuokoa ndoa yake utajabiliana vipi na hali hii?
inaonekana sisi wanaume wachepukaji sana
Huu ni miongoni mwa mitihani migumu sana, ambao ukipewa unaeza usijue la kufanya ila ikitokea itafahamika. Lakini kwa haraka haraka maamuzi yangu yataangalia kwanza uhusiano uliopo kati ya mume na mke, mimi na huyo mwanamke,pia na mazingira tulio kutana. Hayo ndo ambayo nitaangalia before kutake action.
Wew ukitoka nje, ukapewa mimba na mchepuko utafanyaje?? mchepuko akijua fika mimbo uliyo nayo ni yake.
kiukwel sina uhakika nitafanyanje ila cha kwanza nachoweza fanya nikuficha siri na kusema mimba ni ya mume wangu na kumuomba mchepuko afunge mdomo kwa gharama zozote ila mtoto akizaliwa anaweza kuja kumwona ... nitamwambia kuwa yeye ni sperm donate kama mchepuko ni muelewa...
kama si muelewa nitamlia buyu mbaya na kumchonganisha na mume wangu wasielewane..
i wish isitokee hii kitu
Hapo ndipo utapokosea kutaka vita na mwanaume kwenye case hiyo hutashinda.
Imewahi tokea ukampenda mume wa mtu…??