Heshima kwenu wadau,
Kutokana na ugumu wa ajira nimeona bora nianzie hata na kazi ya ulinzi ili niweze pata angalau senti ndogo ndogo za kusogeza maisha huku nikiendelea kutafuta kazi zenye maslahi zaidi.
Je ni kampuni gani ya ulinzi ambayo mishahara yake kidogo ina unafuu
Natanguliza shukrani kwa watakaonisaidia kunipa majibu ya swali langu apo juu
Asante