Thanks kwa taarifa mkuu! Binafsi nakerwa sana na ubabe wa Kapuya na mwanae Baraka anayejiita "full boss". Mimi ni mkazi wa Kaliua na nimeushuhudia ubabe ma kinyama unaofanywa na watu hawa waliojimilikisha Kaliua as if ni ya baba yao.
Nakumbuka kipindi cha kampeni watu waliouliza maswali ya kumbana Kapuya kwenye mikutano yake walipata kipigo on the sport kutoka kwa mabaunsa walioongozwa na so called Baraka kapuya.
NOTE KW CDM: Kiukweli watu wa Kaliua tumechoshwa na hii hali na tulifikiri CUF wakuwa wakombozi wetu; but due to on going situation between CCM and CUF tumepoteza matumaini. So ujio wa CDM Kaliua umefufua matumaini ya wengi. Tunawaomba mjipenyeze zaidi hasa maeneo ya Kamsekwa, Igagala hadi Usinge ili kujiimarisha zaidi before election ili finally ukombozi wa kweli upatikane.
THANKS GOD KWA KUILETA CDM KALIUA, THANKS GOD FOR Dr SLAA (Phd) AND HIS TEAM!!!